Thursday, 3 May 2012

TUMSAIDIE NDUGU YETU SAJUKI.


UJIO MPYA WA IZZO BUSNESS "MWAKA JANA"

                        #stayTuned kwa ngoma yangu mpya kabisa inaitwa ''MWAKA JANA'' ft                            Shapsin..produced by producer of the year ''Maneck wa 
                                         A.M rec...bless'''#mbeyacitY

ODAMA SASA AJA NA LIBENEKE LAKE.

Msanii wa filamu nchini anayeitwa Jennifer Kyaka aka ODAMA ameamua na yeye kufungua Libeneke lake aka blog ili kuweka kazi zake kuwa zakimataifa zaidi.

TOK-ELEZEIYER INTER-SCHOOL CONCERT @KENTON HIGH SCHOOL GROUNDS

12th May, 2012 (10am - 6pm)

Brought To You By:
Friends 4 Friends Group

In Collaboration With:
Waka Waka Na Coca-Cola
New Timbaland Collections
Kali Elegance


Hosted By:
Allan Lucky (Students' President, The Luckiest Dude Alive);
DJ AD (Mafuvu);
Tonny (TBway360) & Faiza (Baby Drama)

Entrance:
7,000/= Prior; 10,000/= @The Gate

Special Appearances:
Dully Sykes, Cyril Kamikaze, Mtu Che (YoungDSM, Stamina, CountryBoy)

Activities:
Hip-Hop Battles, Dancing & Singing Competitions, Q & A, Dogue Competition, Fashion Show & So Much More!

Contacts:
+255717516171 (Agape Daniel Ex-Tusiime);
+255715765396 (Deo Komba Ex-Tusiime);
+255712056765 (Victor Baraka Ngowi Ex-St Anthony's)

PHOTOS: DIAMOND ALIVYOWEKA HISTORIA DAR LIVE…!!PHOTOS: DIAMOND ALIVYOWEKA HISTORIA DAR LIVE…!!

Hapa Diamond akiwa Terminal 1 tayari kwa kupanda chopper
Hapa akipiga sala kabla ya chopper kunyanyua.

Akitoa saluti kabla ya kupasua anga


Kiota cha burudani cha DarLive kwamuonekano wa juu, maelfu ya mashabiki wakishubiri raisi  wa wasafi atuwe        


Hapa akipagawisha mashabiki na wireless mic kabla ya kut

DarLive ikiwa full

Diamond Platnumz akiwa kwa stage

Pamoja na mvua kunyesha, mzuka uko palepale