Thursday, 3 May 2012

PHOTOS: DIAMOND ALIVYOWEKA HISTORIA DAR LIVE…!!PHOTOS: DIAMOND ALIVYOWEKA HISTORIA DAR LIVE…!!

Hapa Diamond akiwa Terminal 1 tayari kwa kupanda chopper
Hapa akipiga sala kabla ya chopper kunyanyua.

Akitoa saluti kabla ya kupasua anga


Kiota cha burudani cha DarLive kwamuonekano wa juu, maelfu ya mashabiki wakishubiri raisi  wa wasafi atuwe        


Hapa akipagawisha mashabiki na wireless mic kabla ya kut

DarLive ikiwa full

Diamond Platnumz akiwa kwa stage

Pamoja na mvua kunyesha, mzuka uko palepale

No comments:

Post a Comment